pjimage (1)

Celebs ambao wakivalia kaptura hufanya Mjulus wa wanaume kuwa ngangari

Mavazi ni njia mojawapo ambayo wanawake wengi nchini hutumia kama njia ya kuvuta hisia za wanaume karibu.

Kaptura ama shorts ni vazi ambalo wanawake wamekuwa wakivalia aidha wakiwa nyumbani ama kwa shughuli zao za kawaida japo si wote wakivalia vazi hilo huvutia pakubwa.

Hapa nimekuandalia baadhi ya watu maarufu nchini ambao wakivalia kaptura huwaacha akina Wanyonyi ,Wafula ,Omondi na wengine Mijulus yao ikiwa imesimama tisti, Tazama.

1.Talia Oyando

Talia Oyando ni mtangazaji. Kando na utangazaji wake, kichuna huyu anapenda sana kuvalia Kaptura akiwa hata kazini ama  kwa shughuli nyinginezo.

talia-oyando-2

Mke wangu wa kwanza anaonea gere mke wa pili kwa sababu amebarikiwa ‘Sitting Allowance’- Wambu Muli asema

 Jacky Vike

Awinja kama anavyofahamika sana na wengi ,anapenda zaidi kuvalia kaptura ambayo kutokana na urefu wa mikuu yake na kiuno kilichokubalika, huwaacha akina yahe wakiwa vinywa wazi.

AWINJA (1)

Kush Tracey

Msanii huyu ana mazoea ya kuwaumiza wanaume hisia zao kutokana na tabia yake ya kuvalia kaptura kila anapokuwa anajumuika na watu katika hafla mbalimbali.

Kush Tracey

Sasa unataka tuje tukutoe Dry spell?, Wakenya wajibu madai ya Size 8

Avril

Ni msanii anayefahamika na wengi kutokana na umbo lake la kuvutia. Avril kama wengine tu akivalia kaptura huibua gumzo haswa miongoni mwa wanaume ambao huvutiwa sana na urembo.

Avril-Classic 105

Brenda Wairimu

Licha ya kuwa na miaka 30, Brenda ni miongoni mwa wanawake maarufu nchini ambao hupenda zaidi kuvalia kaptura katika hafla tofauti na hata wakati wa kuigiza vipindi mbalimbali.

Brenda Wairimu

Nimeishi nikimlipua mamakwe Lungula sawa sawa! Asimulia jamaa

Wanjiku Mburu

Anajulikana sana kama Mama Baha katika kipindi cha Machachari nchini. Tazama jinsi toto hili linapotokea likivalia kaptura.

Wanjiku Mburu

Je wafahamu baadhi ya watu wengine nchini ambao wakivalia kaptura mwonekano wao huwa wa kuvutia?  Tuchapie Gumzo.

Photo Credits: radio jambo

Read More:

Comments

comments