Celestine Njugush ataja sababu za kumtamani kimapenzi Willy Paul na Nyanshinski

49398046_379938129431695_4365074088104180747_n-e1547458440663
49398046_379938129431695_4365074088104180747_n-e1547458440663
Fundi wa ucheshi Njugush na mkewe wametangaza wazi mastaa wa jinsia tofauti wanaowazimikia na ambao wanawatamani zaidi.

Njugush na mkewe Celestine wameweka wazi taarifa hizi katika mtandao wa YouTube.

Soma hadithi nyingine:

"Staa wa kike ninayemtamani ni Avril..." Alifunguka Njugush.

Celestine ametuma salamu kwa ucheshi mwingi kwa nyota wa Chokoza  Avril na kusema kuwa bwanake anamtamani sana.

"Avril, we need to hook up and i don't have a problem but yours is serious, we can be 'Boyz'...," Amesema Celestine.

Soma hadithi nyingine:

Katika kipande hicho cha video, Njugush amesema kuwa bibiye huwa anamtamani sana staa mwenye utata Willy Paul na Nyashinski.

"Huwa hanifichi...' Amesema Njugush.

Soma hadithi nyingine:

Katika video hiyo, Celestine anajitetea kuwa kando na kuwa anampenda Njugush haimaanishi kwamba hawezi kumpenda mwanamme mwingine.( Willy Paul, Nyanshinki)