Sifuna

Chama cha ODM cha wakera wengi baada ya kutetea sakata ya KEMSA

Chama cha ODM kimewakera Wakenya baada ya kutoa taarifa kutetea ufisadi uliodaiwa kufanyika katika ununuzi wa vifaa vya kukabiliana na Covid-19 katika shirika la KEMSA.

Katibu wa ODM Edwin Sifuna kwenye taarifa alisema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa bei iliyofaa na kukashifu ripoti za ununuzi huo kuwa ghali zaidi.

Taarifa ya Sifuna ilimlaumu Naibu Rais William Ruto akisema amekataa kungana na Rais Uhuru Kenyatta kukabili janga la ufisadi.

ODM kilimtaka DP Ruto ajiuzulu kwa madai ya kudinda kumsaidia Uhuru kuendesha serikali kama naibu wake.

EgBoKBWXkAELw64

Hata hivyo, taarifa ya chaMa hicho cha Raila Odinga aliwakera baadhi ya wanamtandao kwenye twitter.

Haya hapa baadhi ya maoni ya wanamitandao;

Akmamy Moha : Why would ODM give a statement on KEMSA? What’s their interest? Someone powerful from ODM must have benefited from KEMSA.

Wambui: Incredible how ODM is defending corruption so that Uhuru can work in peace. They stopped salivating, they are now drinking soup from the meat!

Alexander: Okay. You addressing the thuggery at KEMSA or DP Ruto’s response to the thuggery.

Amakanji Thomas: Ruto surrogates are all over here yapping and others wailing just because the man has been mentioned, sienji

Photo Credits: radiojambo

Read More:

Comments

comments