chipu-and-eric-omondi-2

Chipukeezy apoteza kazi Ebru. Mastaa nchini wamtuliza instagram

Baada ya mkataba wa staa na fundi na ucheshi nchini Chipukeezy na Ebru kuvurugika, mastaa nchini wameonekana kukasirishwa na swala nzima na kuamua kumpa nguvu katika mtandao wa insta.Mkataba wao ulitatizika baada ya uongozi kumtumia baruapepe ukimtaka atenge wakati mwingi akiwahoji wakurugenzi na wanasiasa maarufu nchini kama alivyoripoti staa huyu katika mtandao wake wa insta.

Soma hapa:

Chipukeezy avuruga mkataba akiwasaidia staa chipukizi. Ona anachotakiwa afanye

Mastaa wengi nchini wameonyesha kuipa nguvu nia ya kutoka kwenye kituo hicho huku Eric Omondi, Kartelo,Stivo Simple Boy wakionekana kuipa nguvu asilimia 100%. Kwa sasa Chipukeezy yupo nchini Tanzania na ameahidi kuwa atakaporudi ataanza kurekodi kipindi hiki na kuruka katika akaunti ya Chipukeezy TV kwenye YouTube.

View this post on Instagram

Nobody can stop reggae ..

A post shared by Vinie Chipukeezy (@chipukeezy) on

Chipukeezy anasema kuwa ana jukumu kubwa zaidi kuhakikisha amekuza talanta wasanii wachanga na kuwa hawezi kabisa kushawishiwa na mtu kuacha . Staa huyu sasa anasema kuwa kipindi chake kitaruka kupitia mtandao wake wa YouTube.

Soma hapa:

Chipukeezy atemwa na runinga ya Ebru. Mbona figisu figisu?

Tazama hapa jumbe za mastaa nchini:

“When the networks realize they can’t hold us hostage anymore 🤣🤣🤣.. we thank God for the digital space, “Kate_actress

“The show has helped so many people including me . Thanks for the platform sana . We hope for the best in future 💯 . Bro @kartelo_official we are destined for greatness let’s push on even harder 💯💪💪 konki,” Mulamwah

“Mblooooh keep on keeping on… Wapeleke na Rieng kule utaenda… 💯💯💯💯,” DjjoeMfalme

 

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments