Changamoto wanazopitia Bahati na Diana zitaisha - King Kaka

Saa chache baada ya Khaligraph kutoa wimbo akimkejeli Bahati na familia yake, wengi wamemkosoa na hata kumkejeli katika mitandao ya kijamii huku wasanii wenzake wakimtetea Bahati.

Hii hapa nukuu kutoka wimbo wa Khaligraph,

“Being a celebrity you have to sacrifice. You apologize to people you have not offended (preach). If you are soft-hearted they will say it is biased. If you are hard-hearted you just have to get used to it. They will abuse you so that you get mad and then they laugh at you. Too much gossip and when you fall they kick you. Being a celebrity will cost you a lot because once they know you it is a problem. 

When Bahati started, he was known as a mothers child but now KOT has made him Diana’s (his girlfriend’s) child. There is no mercy." Khali Aliimba.

Wengi wametoa hisia tofauti bila kufahamu kuwa msanii huyo anapitia hali ngumu kwa ajili ya wimbo huo.

Msanii ama rapper King Kaka alikuwa na haya ya kusema baada ya kejeli hizo za wimbo wa Khaligraph;

“I understand we are having fun on social media but I think we are crossing the line when we touch families. What is happening to @BahatiKenya and The Wife should STOP. He might be playing victim but he might be hurting for real.” King Kaka Aliandika.

Alisema kuwa msanii humu nchini si jambo rahisi, wengi wamevuka mipaka kwa kuwadharau wasanii wa humu nchini hadi wengi kuwakejeli watoto wao.

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO