'I choose jeje,' Diamond akana kumbukumbu za Tanasha hadharani

Wiki iliopita, Diamond aliposti jozi mbili za viatu  katika mtandao wa kjamii na kuwauliza mashabiki wake atavaa jozi gani.  Moja ilikuwa ya wimbo wake wa 'jeje' alioimba na Malaika kibao ambacho kilienea sana baada ya kutolewa.

Jozi ingine ilikuwa ya kibao chake na aliyekuwa mpenzi wake Tanasha cha 'gere'.

Si familia, mashabiki na hata wasanii wenzake walichagua kibao cha 'jeje'

Aliposti picha hiyo na kuandika ujumbe mfupi,

"At the Launch, should I wear ‘Jeje’ or ‘Gere’ boots?" Aliandika Diamond.

Baada ya mashabiki wake kujibu swali lake walitoa hisia tofauti huku wengi wakisema kuwa swali hilo lilikuwa anauliza wachague baina ya Tanasha na Malaika.

Kwa hakika wengi walimchagulia Malaika na kumsahau Tanasha haya hapa majibu yao.

Mbosso

LA JEJE KAKA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂

Aunty Ezekiel

La Jeje 😂😂😂

Queen Darleen

La Jeje kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥

Petitman_wakuache

La Jeje noma zaidi😂😂😂