Soma pia:
Kupitia kwa mitandao ya kijamii aliandika,
"HEADING TO THE GROCERY STORE …NEED ANYTHING? 😝
🍆🍑💦."Vera Aliandika.
"HEADING TO THE GROCERY STORE …NEED ANYTHING? 😝
🍆🍑💦."Vera Aliandika.
Willy Paul hakukimya alimjibu kuwa yeye ni baby mama wake.
Vera naye alimjibu Pozze;
‘BABY DADDY 😝’
Mashabiki hawakupendezwa na kitendo cha Willy Paul kummezea mate Vera Sidika ilhali ameoa.
Mashabiki walikuwa na haya ya kusema.
@willy.paul.msafi @queenveebosset leta cucumber nyonga fest plz’
@willy.paul.msafi bro iih huwezi @otilebrown alikimbia wewe nanii.
@willy.paul.msafi hahaha owadwa usimkune huyu nakuona.
@willy.paul.msafi kijana unachoma😂😂.
@queenveebosset walai mnaeza match na pozze.
@willy.paul.msafi bro iyo mali ni safi.
@queenveebosset: chungana na huyu kijana😂😂😂.
Joe Muchiri naye alijitosa katika mazungumzo hayo na kusema kuwa anamtaka Vera amtafutie mpenzi mrembo wa aina yake.
"ME NATAKA TU DAME MPOA 😅😅." Joe Aliandika.
Vera kisha alimuuliza anamtaka mpenzi wa aina gani.
"SKINNY THICK, TALL, SHORT, LIGHTSKIN DARKSKIN, WHAT’S YOUR PREFERENCE 😝???" Vera Aliuliza.
Joe alimjibu,
"@QUEENVEEBOSSET I BELIEVE IN UR TASTE 😅😅 HII CORONA INA NI MALIZA JOWA."
Je mnaamini Vera na Willy wanaweza kuwa wapenzi?
MHARIRI: DAVIS OJIAMBO