Coronavirus: Unayofaa kujua leo kuhusu zimwi la corona Kenya na Afrika kwa kifupi

Kenya leo, tarehe 26 machi imefikisha visa 31 vya virusi vya Corona. Watu watatu zaidi wamethibitishwa kuwa na ugonjwa huo huku  marufuku ya kutotoka nje kuanzia saa moja usiku hadi saa kumi na moja alfajiri ikitarajiwa kutekelezwa kuanzia Ijumaa tarehe 27. Soma yote  katika picha moja.

Kwingineko bara la afrika leo limesajili visa vipya 83 vya corona virus. Fahamu yote  kuhusu Coronavirus barani Afrika katika picha hii ;

Mhariri: Davis Ojiambo