Daah! Kidogo tu Otile Brown washiriki ngono na 'dada yake' - Vera Sidika

Otile-brown-stage-
Otile-brown-stage-

Mwanamziki stadi, Otile Brown anayejulikana kwa wimbo wake 'Baby Love' aliachwa na mpenzi wake hivi majuzi Bi Nabayet na kutoka wakati huo, mwanamziki huyu amekuwa kizungumza kwa machungu sana.

Kupitia mtandao wa kijamii, Otile Brown aliandika,

''MAYBE I DON’T DESERVE NABII, I FEEL LIKE SHE’S ALWAYS TRYING TO ACT LIKE SHE UNDERSTANDS AND SHE CAN TAKE IT BUT I THINK SHE’S DROWNING.''

Zaidi ya hayo, alijigamba na  kusema kuwa,wale wapenzi wake wote ambao walitengana nao kama vile Vera Sidika huwa hawaachi kumpenda ata iwe aje.

''HAVE YOU EVER WONDERED WHY MY EXES NEVER GET OVER ME? IT’S BECAUSE I’M SWEET, CARING, LOVING AND VERY SMART,” alisema.

Vilevile alisema,

''FOR MY EXES, I FEEL SORRY FOR Y’ALL BECAUSE YOU’RE SAD AND MISERABLE, YOU FAKE SMILES AND ACT THAT ALL IS WELL IN YOUR NEW RELATIONSHIPS.''

Mwanamziki huyu mwenye machungu alizidi kusema kuwa, kwa sasa hana mchumba na hata hatafuti

''I’M SINGLE AND I DON’T NEED A WOMAN IN MY LIFE. I WILL FOCUS ON MY MUSIC FOR NOW. SORRY FOR THE DISAPOINTMENT, ANNOYANCE AND THE STUPID ACTS. MAYBE RELATIONSHIPS AREN’T FOR ME.'' Otile alisema.

Hivi juzi jumamosi, Otile Brown alikuwa na 'show' jijini Kakamega na ni wazi bayana kuwa, alijitolea kuwaburudisha mashabiki wake.

Otile Brown alimwita binti mmoja kwenye jukwa wacheze  pamoja.

Wawili hawa walicheza kwa mtindo wa kutongozana huku mashabiki wakizidi kushangilia.

Binti huyu alikuwa anamtikisia Otile tako lake huku wakifurahiana.

Mwanamziki huyu aliweka video hii kwenye mtandao wa kijamii na kuandika,

KISHA WANA FORCE TUFANANE, 🤣 MI MACHO TU, FIRST GO MAKE PEOPLE FALL IN AND OUT OF LOVE, MAKEUP AND BREAK UP, MAKE LOVE, SAD AND HAPPY WITH YOUR MUSIC 🙏. THANKS FOR THE LOVE KAKAMEGA #MAPENZIHISIA #GOODMUSIC #OB #JUSTINLOVEMUSIC #WEGOTNOTHINGBUTLOVE

Wakenya nao walimuomba Otile ajikazie sana na tabia ya kubudika na mashabiki kwani tabia hii itafanya uhusiano wake na atakayekuwa mpenzi wake wakosane.

sake_huka Utaachwa tena

wakio_kiseu Nabayet akiona hivi ndo wazidi kumchafua

saima.khan Making Nabbi jealous again.

joyous Nakwambia kudate msanii yahitaji uvumilivu wa kutosha😂😂😂😂

keshianbaibe Akh kudate msanii nikujinyonga na bigijii😮

perps_mueni Utaachwa tena @otilebrown

slaggydonn  Yule nabbi akiona ivi anakua na wazimu

kawambui.esther Waaah nakwambia kudate Otile Brown ni noma he makes every gal love him