Daah, Toto si toto! Wakenya wafurahishwa na mtindo mpya wa Lilian Muli

Ripota stadi wa runinga ya Citizen, Lilian Muli amejazwa na furaha mpwitompwito baada ya mashabiki kuandika ujumbe wa kumpaka mafuta moyo.

Lillian Muli alichapisha picha yake kwenye mtandao wa kijamii akiwa na mtimdo mpya wa nywele na ndipo mashabiki wakatoa maoni yao.

''KHAIII @STYLISTCOLLINS AMENINYOA KAMA KINYOZI WA CHINI YA MTI GFF. OH AND ABOUT MY EYEBROWS I ALWAYS ARCH ONE EYEBROW IN ALL MY PICS IT’S SUBCONSCIOUS AND JUST ME 😊'' Lillian Muli aliandika baada ya picha.

Lilian amependa sana kuvaa wig  kitu ambacho kiliwafanya mashabiki kufikiri kuwa, binti huyu anaficha kitu .

Tazama Orodha ya maoni wa mashabiki wa Lilian Muli :
m91fa: You look great kesho tunataka u appear just like that kwa TV ukisoma news🔥🔥😍😍❤️💯 Ur hot my Kenya tv star hujawahi niangusha mafans🔥

mutusefaith: Rocking short hair u look pretty girl

flowanjiku85: Awwww,u look so sweet😍😍

 teresiakagendo: Wow, such a beauty. Nzisa looking younger and lit😍😍

jennmburu: Uko tu sawa…you look better kuliko when uko na hizo weaves/wigs kwa kichwa.

aminah_mukuna: Uko sawa haki wacha wig kabisaaa.

di.ana8410: Daaaaamn you look gorgeous.

shira_mainah: Soo you can look beautiful like this without wigs…I was wondering what do you normally hide ?? And you got a beautiful face.

naznjotonio9444: Welcome to the club sister from another mother.

annmwaura: Wow😍😍please no more weaves, this suits you more…beautiful…

oneyhon27: I think this should be your new look beautiful.

winniemwendwa: Now that’s your style looks stunning ❤️❤️❤️❤️

Ama kwa hakika, binti huyu ni mrembo si kidogo.