Kiunjuri

DCI kuchunguza waziri Kiunjuri na Wamalwa juu ya kashfa ya mabwawa

Makatibu wawili wa mawaziri waliitajika katika ofisi ya Kurugenzi ya uchunguzi ya jinai (Directorate of Criminal Investigation) katika uchunguzi wa bwawa la Arror na Kimwarer unaoendelea.

Champions League: Man City hit seven past Schalke as Ronaldo’s hat-trick helps Juve drown Atleti

Waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na waziri wa kilimo Mwangu Kiunjuri wataweza katika ofisi ya DCI iliyo katika barabara kuu ya Kiambu.

Wawili hao wali tarajiwa kuenda ofisini humo kwa masaa tofauti kwa uchunguzi huo unaoendelea.

Kiunjuri
Waziri Mwangi Kiunjuri

 

Kiunjuri alitarajiwa kufika  katika ofisi za haramu (Serious crime) saa nne unusu asubuhi huku mwenzake wa ugatuzi akiwa tayari akiwa amefika katika chumba cha mazingira.

Mkubwa wa DCI George Kinoti anachunguza madai ya kuwa baadhi wa wanakandarasi waliweza kuungana na maafisa wa polisi ili waweze kupewa zabuni ya kujenga mabwawa hayo.

Scientist warn against cancer from wireless tech including the trendy in-ear headphones

Ni uchunguzi ambao umeweza kufanya washirika wa Ruto kusema kuwa rais analenga jamii ya Kalenjin kwa kuwachunguza viongozi wa eneo hilo.

Huku Sudi akisema kuwa Kinoti ni mchawi wakiwa na Raila, na kusema kuwa kinara wa ODM amempa rais dawa ya uchawi ili aweze kumchanganya.

thwake
Waziri Eugene Wamalwa

Wawili hao walisema kuwa kama rais Uhuru amekosana na naibu wake William Ruto awache kuiwapa adhabu jamii ya Kalenjin kwa ajili ya ugomvi wao.

DCI kusukuma mashtaka dhidi ya Henry Rotich

Uchunguzi huo uliweza kufanya DCI kumchunguza na kumuuliza maswali Rotich kuhusiana na mabwawa hayo.

Walipa ushuru walisema kuwa shillingi billioni 21 zimeweza kupotea ambazo zilikuwa zimetengwa kwa kujenga mabwawa hayo, lakini serikali iliyoongozwa na Williama Ruto na mweka hazina Henry Rotich wakisema na kusisitiza kuwa billioni 7.8 pekee zimeweza kutumika kuwa lipa wanakandarasi hao malipo ya mapema.

Rotich aliweza kuchunguzwa kwa siku nne na wachunguzi wa DCI bali mkurugenzi wa (Kerio valley Development Authority) David Kimosop akifanyiwa uchunguzi  na kuulizwa maswali kwa siku mbili pekee.

 

 

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments