Soma hadithi nyingine:
"Ana ujauzito wa miezi 16. Kwisha hiyo maneno, ana ujauzito wa miezi 16.Wewe fanya hiyo maneno ya intepretation." alipuuza Dennis.
Ili kabisa kuonyesha dharau kubwa zaidi, Dennis Itumbi aliichapisha picha ya kitambo ya ujauzito wa kwanza wa Jacque na kuandika.
https://www.instagram.com/p/By8AZCTgll2/
“It could have been today, it was almost on the 10th, when you would have made your way into arms Zahari…until you enjoyed 4 more days in there.” alisema Dennis.
"It's still exciting, 3 years down... When the real countdown was on. Here's to you kid."
Soma hapa pia:
Willy Paul amtafutia kazi Mcee mkubwa nchini
Kijana wake Jacque, Zahari ana miaka 5. Katika wiki chache zilizopita, Jacque alifika katika harusi ya mwanahabari Sam Gituku na hakuonyesha dalili ya kuwa na ujauzito kwa mujibu wa picha katika hafla hiyo.
Soma hapa:
Habari za ujauzito zinaonekana kama kiki yake Jacque ila katika picha ya juzi kati katika mahakama fulani nchini, inakisiwa kuwa huenda akawa na ujauzito kwa mwonekano wa picha hii.