Diamond hadi Wizkid; Wanaume walio na tabia ya kufunga skafu kichwani (PICHA)

Kinyume na wengi wanavyodhania, Skafu sio za wanawake pekee. Kwa mda sasa, wanaume wengi wameanza kuzikubali skafu ambazo kitambo zilidhaniwa kuwa za wanawake

Wanaume wengi sasa wanafunga skefu shingoni huku kadhaa na haswa walio na ujasiri mwingi kuzifunga vichwani vyao.

Mwenendo huu wa kujifunga kichwani unaonekana sana sana kwa wasanii huku wenzao wa Afrika wakishindana nani atafunga tena katika kanda zao.

Kuanzia Diamond Platnumz wa Tanzania hadi Wizkid wa Nigeria, tunakuorodheshea wasanii ambao wana tabia ya kufunga skafu kichwani.

  1. Wizkid (Nigeria)

2. Masterpiece (Kenya)

3. Burna Boy (Nigeria)

4. Diamond (Tanzania)

5. Harmonize (Tanzania)