Diamond Platnumz akiri kumpenda dadake Vanessa Mdee

diamond
diamond
Msanii na staa wa bongo Diamond Platnumz anafahamika sana Afrika Mashariki hasa ikifika sekta ya wanawake, kwa mua msanii huyo amekuwa akiwachu,bia wanawake tofauti na kisha kuwavunja moyo baada ya kuwatema.

Diamond amewasisimua mashabiki wake baada ya kuposti video ya dada yake Vanessa Mdee huku akiandika ujumbe mfupi unaosoma kuwa anampenda mwanamke huyo.

Mwanamke huyo alikuwa anaimba kibao chake cha hivi majuzi cha 'cheche'.

https://www.instagram.com/p/CFRujKWpnzF/

"Mi nakapendaga haka katoto.... Sema sjui ata Tyming naikoseaga wapi Mwana wa Dangote... Doh!" Aliandika Diamond.

Wengi wa mashabiki wake walimuuliza kama yuko tayari kupenda mwanamke wa Tanzania baada ya kuzunguka Afrika mashariki.

Aishasiku asked: Lol, so you want to go back to Tanzania? I see you are not yet done with Burindi and Rwanda.

https://www.instagram.com/p/CFRUQdnprDN/

:We dai wewe hata mimi nafanana nae nipo huku mbeya😂
:Mzee baba sio kwamba eti ni utani naelewa uko serious maana we kwa totoz nzuri balaa
:Simba mla watu 😂😂😂😂