‘Diamond Platnumz amechoka na mimi!’ Eric Omondi afichua

Mchekeshaji  Eric Omondi  pia ametambulika katika fani ya burudani  kwa hisani ya wajibu wake Daniel Ndambuki katika kipindi cha Churchill. Akiwa na zaidi ya wafuasi milioni 2.5 katika instagram  na kwenye kumbi mbalimbali za mitandao,  Eric amejitengezea sifa na jina la kumpa uzito .

Nyimbo zake za  miigo ya nyimbo za Diamond  zilimfanya awe rafiki wa karibu wa msanii huyo wa Tanzania  na wangali marafiki hadi sasa

Akizungumza katika mahojiano kwenye Churchill, Omondi amesema;

DIAMOND NIMEMCHOSHA. AMECHOKA NA MIMI. AFTER I DID NABEBA MAWE, DIAMOND CALLED ME AND INVITED ME TO HOST ZARI’S ALL-WHITE PARTY IN 2015 IN DAR ES SALLAM, TANZANIA.

Eric hajakuwa kwenye runinga kwa miaka tisa baada ya kuamua kwenda digital. Amesema hivi kuhusu  nyakati za kumfedhehesha katika fani ya uchekeshaji .

IT WAS AT NYAYO STADIUM DURING CHAGUO LA TEENIZ AWARDS IN 2010 WHEN I TRIED TO PULL A HOLLYWOOD MOMENT BY COMING DOWN THE STAGE FROM THE ROOF ON A ROPE, KAMBA ILIKWAMA NIKAHUNG HAPO 15 MINUTES …THE EMBARRASSMENT.