Diamond Platnumz azungumia usaliti wa Harmonize kuitema WCB (+ Video)

diamond_harmonize_mug__1569308622_73028
diamond_harmonize_mug__1569308622_73028
Sasa ni bayana kwamba huenda staa na nyota wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na Harmonize wakakosa kupatana tena.

Wawili hawa walikuwa marafiki wa karibu sana.

Harmonize alikuwa kifungua mimba cha Diamond katika lebo ya WCB.

Soma hadithi nyingine:

Kwa uwezo na nguvu za kuimba, Harmonize ni mkubwa sana kuwashinda wenzake waliosainiwa katika lebo ya WCB.

https://www.instagram.com/p/B2yPcMYADi_/

Kupitia kipande cha video Insta, ni kweli kuwa kitendo cha Konde Boy kuitema lebo kilimuuma.
"Raisi pekee ambaye wananchi wamemchagua, nishasalitiwa na JESHI ila wakashindwa kunipindua" Diamond alisema.

Soma hadithi nyingine:

Hapo awali, Konde Boy alishobokea na kuposti ngoma mbili za Rayvanyy na Mbosso.

Dogo sasa anaonekana anafanya kuonyesha ku-balance shobo na kuipiga mikausho ngoma yoyote inayotoka usafini.

Soma hadithi nyingine:

Mastaa wa karibu na Diamond Platnumz tayari washasukumu mzigo huu kwenye mtandao ili Harmonize bado bado. Je, huenda ikawa Mondi alimkosea sana Harmonize kiasi cha kwamba hawezi kumsamehe? Au Huenda Harmonize anataka kupimana nguvu na bosi wake?