diamond

Diamond yuko Single! Asema dadake Queen Darleen

Msanii wa Bongo Diamond Platinumz yuko Single na wanadada wanafaa kukumbuka hilo wakati wote. Hayo  yamesemwa na dadake msanii huyo Queen Darleen ambaye amesema kakake bado ni mtanashati na hivyo basi hafai kujifungia.

 

Unajua hali ya jamaa uliyejaribu kumuua?’ soma jibu la Babu Owino kwa jamaa aliyempiga kijembe

Queen aliyasema hayo katika ujumbe  alioambatanisha na picha ya kakake katika akaunti yake ya instagram. Huenda sasa ni rasmi kwamba  Simba kweli kaachana na Tanasha Donna kwa sababu dadake anawafungilia wanadada wengine milango katika maisha ya kaka yake.

Tanasha

Brothel biz: Jirani yangu anaendelea na biashara yake ya ‘brothel’ licha ya agizo la quarantine

Katika posti hi ya Insta, dadake mwingine wa Diamond, Esma naye alicheka kwa bezo akisema kwamba huenda akina dada wanamuogopa Kaka yao. Huenda familia ya Diamond ipo nyuma yake kuhusu maamuzi anayofanya ya kuwatema vipusa wote wanaoingia katika maisha yake. Huku wanadada walioathirika wakilalama, dada zake na mamake wameonekana kulichukulia suala zima kama sarakasi na drama!

 

Mhariri: Davis Ojiambo

Photo Credits: Hisani

Read More:

Comments

comments