Diana Marua amfokea shabiki Insta kisa Bahati, Insta yawaka

bahati1__1570190817_94158
bahati1__1570190817_94158
Mkewe Bahati amezua mjadala moto katika mtandao wa Insta baada ya shabiki kukosoa anavyovaa mme wake.

Shabiki huyu alimtaka Diana Marua akomeshe tabia za Bahati kuvaa nguo kama mtu ambaye hajaoa.

Kwa mujibu wa shabiki huyu, Bahati anapaswa kuvaa kama baba wa watoto 5.

https://www.instagram.com/p/B3Hoe7eA9dI/

Soma hadithi nyingine:

"Funza mume wako kuvaa kama baba mtu ako na watoto watano…' Alisema shabiki huyo.

"...ni mume wangu, Linda Boma yako, kwangu tuko sawa😎" Alimjibu Diana.

https://www.instagram.com/p/B3Kj_BTAlWg/

Soma hadithi nyingine:

Bahati na mkewe Diana Marua wana furaha nyingi baada ya kupata mtoto wao wa pili.

Mtoto huyu alipata ubalozi wa Hospitali ya RFH punde tu baada ya kuzaliwa.