diana.ahati5(1)

Drama! Bahati na Diana Marua kupambana hadharani

Mwanamziki ambaye anajulikana kwa sana Bahati waliweza kupambana na kupigana na mke wake Diana Marua katika runinga ya national TV.

Mwelekezi wa kipindi chao cha ‘Being Bahati aliona ni vyema kuacha Bahati na mke wake Diana kupambana.

Nilikuwa na 6,000 wakati wa kulipa mahari ya mke wangu-Njugush akiri

Kupambana huko kulianza wakati Diana alikuwa anataka tahadhari ya Bahati lakini alikuwa ameshika na  kuongea na simu yake.

“Jambo moja ambalo uwa lina ni changanya na kunitia wasiwasi kuhusu bahati uwa anashinda kwa simu kila wakati,”Diana alifichua.

Diana Marua na Bahati

Kisha Diana aliweza kuenda mahali mwanamziki huyo alikuwa na kunyakua simu yake bali Bahati aliweza kushikilia, hapo ndipo walianza kupambana kwa ajili ya simu.

Kisa hicho hakikukaa kwa muda mrefu mbali nilikamilika wakati Diana aliweza kufauli kuchukua simu hiyo na kuhakikisha kuwa iko mikononi mwake.

‘Even if I give birth to 500 kids, none of them will be named after my dad’, Angry lady (AUDIO)

Aliweza kuenda na simu huku akiongea kwa kimombo; “I don’t care who it is [you were talking to on the phone].”

diana.ahati5(1)

Baadaye Bahati aliweza eleza kuwa anapaswa kuchukua kwa sababu hivyo ndivyo uwa anawapigia wanabiashara na pia kupata miradi ambayo uwa inamsaidia kulipa madeni yake.

Mapema katika kipindi hicho Diana aliweza anzisha mazungumzo ya utofauti wa miaka yao.

“Lakini, babe, you are a born jana, sindio?”(Lakini mpenzi si ulizaliwa jana),”Aliuliza Diana.

PATANISHO: Bwanangu alinitenga na kutorokea Thika kwa mke mwingine

Diana aliweza kukosolewa baada ya kuweka picha katika mtandao wa kijamii ,picha ya changamoto za miaka kumi(#10years challenge), Bahati aliweza simulia vile mmoja wa mashabiki wa Diana aliweza kumkosoa mke wake katika sekta ya maoni katika mtandao wa Instagram.

Bahati aliweza elezea kuwa..

“You posted the #10YearChallenge, then someone commented and said, ‘Hapo Bahati alikua anayonya’(Uliweza kuweka picha katika #10 years challenge na mtuakatoa maoni na kusema).”Bahati alieleza.

Bahati.diana.cover.696x278(1)

Diana aliweza kusema kuwa watu hawana subira,baadaye akiongea na mwelekezi wa kipindi cha ‘Being Bahati’ aliweza kuulizwa ama uwa anasumbuka sana na ukosoaji wa mashabiki katika mtandao ya kijamii,ambao uwa wansema kuwa anamshinda Bahati na miaka.

“Uwa naasumbuka kweli kuwa Bahati ni mndogo wangu?uwa hata sisumbuki ata,jambo ambalo ni la maana ni kuwa nampenda Bahati,”Alieleza Diana.

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments