Drama!! Mkewe Harmonize na aliyedaiwa kuwa 'side chick' wake warushiana cheche za maneno mtandaoni

Katika sekta ya sanaa ya muziki  lazima kuwe na drama  ya kuwashangaza mashabiki wa kila msanii. Mkewe msanii Harmonize, Sarah Micherotti na aliyedaiwa kuwa ni 'side chick' wa msanii huyo walirushiana cheche za maneno kupitia instagram.

Hii ni baada ya video vixen Nicole Joy Berry kutoa maoni katika video ya Harmonize kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

Uvumi huo kuwa Harmonize anamchumbia Nicole na mpenzi wake mzungu alimuacha kumfuata kwenye mitandao ya kijamii, Jumanne Harmonize alipokuwa katika video alikuwa na aliyekuwa mpenzi wake Wolper na kutokana na mazungumzo yao wawili hao bado wanapendana.

Alifichua kuwa miaka miwili iliyopita walihudhuria sherehe ya siku ya kuzaliwa na Sarah.

"Katika uhusiano wako wa sasa una furaha?" Harmonize Alimuuliza Wolper.

Wolper hakusita bali alijibu,

Ndio, sasa ninamchumbia mwanaume ambaye amekomaa." Wolper Alijibu.

Mkewe Harmonize alimuita video vixen huyo

"Malaya"

Nicole hakukimya bali alimjibu Sarah ipasavyo;

"Call me malaya one more time." Nicole Alisema.

Wakati huo Nicole hakufyata domo lake bali alianza naye kumtusi Sarah huku mambo yakawa magumu kwa Harmonize kuwatuliza.

"SARAH I DON’T NEED HARMONIZE IN MY HOME. I CAN LISTEN TO HIM FROM THE STUDIO. I DON’T CALL YOUR BOYFRIEND, HE REQUESTED [ME TO JOIN HIM LIVE]. HARMONIZE TALK TO HER."

Harmonize alimbembeleza mpenzi wake huku akimwambia atulie,

"‘CALM DOWN BABY." Harmonize Alizungumza.