"Endelea kupumzika na malaika." Mkewe collymore asherehekea siku yao ya ndoa

Mwenda zake CEO wa Safaricom Bob Collymore aliaga dunia kwa ajili ya kuugua saratani kwa muda mrefu. Collymore angekuwa hai angesherehekea mwaka wa nne wa kufunga ndoa na mkewe Wambui.

Wawili hao walifunga ndoa mwaka tarehe 4/4/2016, harusi ambayo mavazi yake yalikuwa tu meupe na kuhudhuriwa na watu na marafiki wa pande zote mbili.

Huku akisherehekea mwaka wao wa nne wa ndoa, Wambui amesherehekea bila mume wake na alikuwa na haya ya kusema.

"4 YEARS TODAY, YOU MADE ME, MRS. C. THANK YOU FOR ALWAYS BEING IN MY CORNER, MR. C." Aliandika mkewe Collymore.

Wengi waliibua hisia tofauti na kusema kuwa Kenya ilimpoteza shujaa, hizi hapa hisia zao

Truphosa Hapisu Congratulations on your marriage anniversary…4 years is a commendable time to be in marriage …I pray you continue to thank God for allowing you to be Mrs C.Praying with you for strength and grace through it all

Mwalimu Joshua Memories of great people never fade away. They are engraved in our hearts.

Fridah Gacheri RIP Mr C; Kenya lost a gallant soldier. Pole Mrs C may the Lord continue comforting you.

Kamz Love the way he’s looking at you. Revolving hearts. I somehow thought of the song ‘Wonderful Tonight’ Revolving hearts. Hugs

ZKhulaidi Happy anniversary Mrs C I can only imagine how he would be in the frontline helping the country fight COVID-19 in whatever way he can. We miss Bob.

Anne Murungi He watches over you and the young ones Wambui.

Diana Sifuna Sending you warm thoughts and hugs. Happy anniversary ❤🙏🏾

Tiger Chemirmir Bob perfect CEO who got another job in heaven

Daniel Kiogora He is resting in great peace.

John Sisoh Happy anniversary Mama. May Bob’s soul continue resting in eternal bliss

Anne Gati May his soul rest in peace. Take heart Wambui God will be on your side.