chipu-eric-omondi-e1483706782304-696x306

Eric Omondi atokwa na povu insta. Afunguka jinsi Ebru ilivyomtesa Chipukeezy

Fundi na profesa wa ucheshi Africa Mashariki Eric Omondi amejawa na mori na ghadhabu kubwa alipopokea taarifa za Chipukeezy kutemana na runinga ya Ebru. Staa huyu amefunguka mengi jinsi uongozi wa runinga hii ulikuwa unamhangaisha mcheshi mwenzake.

Katika posti refu insta, staa huyu ameonyesha kuwa Chipukeezy alipitia mahangaiko tele katika mkataba wake na Ebru. Omondi anasisitiza kuwa sio tu kuwa anamshirikisha mcheshi anayekua kwa kasi zaidi Kartelo katika kipindi chake ila kuna baadhi ya madharau anayofanyiwa ili kuuvuruga mkataba.

Pata uhondo kamili:

Chipukeezy atemwa na runinga ya Ebru. Mbona figisu figisu?

I can not count the number of times Chipukeezy called me to Cry, Lament and Complain about Mistreatments and Frustrations at Ebruūü§¶ūü§¶… I witnessed personally in awe as a watchman stopped Chipukeezy’s car at the gate and asked him to park outside because he was carrying “Vijana strange” ( Guests at the show). It is high time Media Houses started treating Artists with due respect. I have not been on TV for the past 7 years and I can assure you that am doing JUST FINE so¬†@chipukeezyand¬†@kartelo_official¬†will be More than Okay!!! Do not be lied to¬†@chipukeezy¬†has left Ebru because of simple MADHARAU hata sio¬†@kartelo_official¬†tu, I have seen my boy suffer in silence and with sooo much patience, he’s taken it all and now he’s left. If I were Ebru TV I would apologize to¬†@chipukeezy¬†and¬†@kartelo_officialVIJANAAAA!!! ALUTA CONTINUA!!!”¬†

Baada ya mkataba wa staa na fundi na ucheshi nchini Chipukeezy na Ebru kuvurugika, mastaa nchini wameonekana kukasirishwa na swala nzima na kuamua kumpa nguvu katika mtandao wa insta.Mkataba wao ulitatizika baada ya uongozi kumtumia baruapepe ukimtaka atenge wakati mwingi akiwahoji wakurugenzi na wanasiasa maarufu nchini kama alivyoripoti staa huyu katika mtandao wake wa insta.

Soma hapa:

Inspekta Mwala anusurika kichapo cha umati. Agonga na kuua mtu papo kwa hapo

Chipukeezy anasema kuwa ana jukumu kubwa zaidi kuhakikisha amekuza talanta wasanii wachanga na kuwa hawezi kabisa kushawishiwa na mtu kuacha . Staa huyu sasa anasema kuwa kipindi chake kitaruka kupitia mtandao wake wa YouTube.

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments