Eti? Nakojoa nikiwa kwa Swimming pool,Asema Diana Marua

NA NICKSON TOSI

Malimwengu haya,mke wa Bahati Diana Marua amepasua mbariki kwa kusema kuwa kila wakati anapokuwa kwa kidimbwi cha kuogelea yani Swimming pool huwa anakojoa ndani katika maji hayo.

Mama huyo wa watoto wawili alikiri hayo katika video aliyokuwa anachukuwa Bahati na kuulizwa iwapo amewai gfanya kitendo hicho .

“Before you become petty, I want to be pettier. How many times ushawai kojoa kwa maji ya swimming pool?” Alimuuliza Bahati.

“Kukojoa nakojoa all the time as long as I’m in I just do it…. but umenifundisha ughetto we’ve become one. So we go with the flow,” Alisema Marua.

Wawili hao hivi karibuni wamekuwa wakituma video zao ambazo wanaulizana mawsawli na kisha kila mmoja kujibu ambapo pia walimzungumzia mpenzi wa zamani wa Bahati Yvette Obura.

Katika video moja ,Marua alimuuliza Bahati iwapo anazungumza na Baby mama wake kila siku ,lakini Bhati alimjibun na kusema kuwa ana haki ya kuzungumza na yeye kutokana na mtoto wao Mueni.

“For a long period, we were not in communication because of a few things. Hatukuwa tunaelewana but tukiapproach end of 2019, I saw it important to be in communication kwa sababu what matters in this case is my daughter. Before nilikuwa na have kupigia the shosh and at times hatuelewani. Mtoto anataka kuongea na mimi hawezi ambia mamake anipigie. Naongea na yeye nikitaka kuongea na mtoto ama mtoto akitaka kuongea na mimi,”Alisema Bahati