Fahamu wagombea 24 waliojitokeza katika uchaguzi mdogo wa Kibra

Mariga, Owalo, Okoth
Mariga, Owalo, Okoth
Uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Kibra ulivutia jumla ya wagombeaji 24 inanaendelea huku wakaazi katika eneo hilo wakiwa na azma ya kuchagua mbunge wao kati ya wagombea ishirini na wanne waliojitokeza katika kinyang'anyiro hicho.

Kiti cha ubunge cha Kibra kiliachwa wazi baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge Ken Okoth.

Mgombea wa chama cha Jubilee McDonald Mariga, Eliud Owalo wa ANC na Benard Okoth wa ODM wamekuwa wakiangaziwa sana kutokana na umaarufu wa vyama vyao.

Ila kile watu wengi wasichokijua ni kwamba kuna wagombea wengine zaidi ya ishirini kutoka vyama vingine vidogo huku wengine wakiwa wagombea huru.

Hii hapa ni orodha ya majina ya wagombea wote 24 wanaowania kiti cha Kibra;

McDonald Mariga (Jubilee)

Eliud Owalo (ANC)

Benard Okoth (ODM)

Hamida Musa (United Green Movement)

David Odanga (Independent)

Martin Andati (Modern Alliance Party)

Shem Ocharo (Munngano)

Anaciet Dorn (DP)

Fridah Kerubo (Independent)

Titus Mutinda (Republican Liberty Party)

Kassim Abdul (The New Democrats)

Fransco Ojiambo (Party of Democratic Unity)

Ibrahim Kimorko (Roots Party)

Felix Anditi (Independent)

Noah Migudo (Independent)

Khamisi Butichi (Ford Kenya)

Elijah Nyamwamu (National Rainbow Coalition - Kenya)

Mathew Musyoka (Independent)

Jared Nyakundi (National Liberal Party)

Editar Ochieng’ (Ukweli Party)

Abraham Okoth (Independent)

Emmanuel Owiti (Green Congress)

Isaac Ogongo (Justice and Freedom party)

Shedrack Omondi (I)