Fake News! Tanzania yapuzilia mbali taarifa zilizoenezwa kuwa Magufuli amepiga marufuku uvaliaji wa barakoa

IMG-20200525-WA0020
IMG-20200525-WA0020
Tanzania imetaja taarifa zinazoenezwa mitandaoni kuwa rais Magufuli amepiga marufuku uvaliaji wa barakao nchini humu kama taarifa za uongo na za kupotosha.

Tanzania imewarai wananchi wake kujitenge na taarifa hizo na kuzitaja kama za uzushi .

Taarifa za awali zilikuwa zimenakili kuwa Magufuli alikuwa amepiga marufuku watu kuvalia barakoa japo kwa sasa zimetajwa kama taarifa za uzushi.

Imewarai wananchi wake kujitenga na uvumi huo wa kimitandao.