Familia kulazwa baada ya kula chakula cha msaada wa DP Ruto

HEGk9kpTURBXy84YjU2NmI0ODUwM2Y3MDg5OWE0YjlmZTg4MzBmMmE2YS5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
HEGk9kpTURBXy84YjU2NmI0ODUwM2Y3MDg5OWE0YjlmZTg4MzBmMmE2YS5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
Familia moja kutoka kijiji cha Gikambura imelazwa hospitalini baada ya kula chakula cha msaada walichopokea kutoka kwa naibu wa rais William Ruto na mbunge Kimani Ichungwa.

Ni jambo au tukio ambalo lilimfanya Ichungwa kujibu kwa haraka kisha kujitenga na William Ruto, kwa ajili na jambo hilo la aibu.

Mbunge huyo alisema kuwa chakula hicho ambacho kilikuwa na sumu kulitokana na maadui wa William ruti huku akiongeza na kusema kuwa gari lingine lilionekana likipeana chakula kama kile cha naibu rais Ruto.

"All our interventions are done through your known church leaders and from an identified list of beneficiaries identified by religious and Community leaders. Pls be cautious as EVIL people who are distributing these may poison people for politics! A family that consumed the sugar suspect it was poisonous as two of them have been treated after consuming it .Inform all your neighbors. Any support from our office will be delivered to your houses by your known neighbours and church leaders. To the EVIL CABAL, Shetani ashindwe! Why don’t you feed the hungry? Why poison people in the name of fighting us?" Ichungwa Alizungumza.

Tukio hilo linatendeka siku chache baada ya Wiliam Ruto na mbunge Ichungwa kuandamana na kupeana msaada wa chakula katika Wadi ya Nachu.