Famous Tanzanian Pastor Expresses Disgust After Singer Diamond Platnumz Releases New Song ‘Hallelujah’ (Video)

A famous Tanzanian pastor has condemned Diamond Platnumz’s new song dubbed Hallelujah, in which he has featured Morgan Heritage.

Zakayo Nzogere says the title of the song does not go hand-in-hand with the theme in the video. He further says how he is disgusted by how the singer’s misused this religious word in his song.

“Tafadhali tusaidiane kufikisha ujumbe huu… tunataka jukwaa la wakristo tanzania linalojumuisha baraza la tec, cct na cpct litoe tamko dhidi ya wimbo wa “diamond” ambao ametumia neno “hallelujah” wakati maudhui ya wimbo wake hayaendani na maadili ya kikristo.matumizi ya neno hilo katika wimbo huu yanaudhi.pia naomba waziri wa utamaduni, sanaa na michezo afikishiwe ujumbe huu.pia tunaitaka basata izuie wimbo huu hadi maneno hayo yaondolewe.”

In another social media post, the man of God says he is flabbergasted by the fact that born-again people are praising secular songs.

Najiuliza… Nabaki Kushangaa…hivi inawezekanaje mtu aliyeokoka na kujazwa na nguvu za roho mtakatifu halafu aendelee kushabikia mambo ya dunia??? inawezekanaje mpendwa kuvutiwa na nyimbo za kumtukuza baali???Something Is Very Wrong somewhere.

The song broke the records by having over a million views in 16 hours. Mpasho has found out that the lit video was shot in Brixton, Uk.

Check out what fans had to say:

essau_fredrick: Yaani katika taifa na yote yanayo Endelea sasa hivi katika nchi yetu huyu mtumishi ameona wimbo wa diamond?like seriously na imekuaje mtumishi huyu kupata nafasi ya kuusikiliza?????kwel hiz n ck z mwisho na dalili zake sas ziko bayana kabisa,km n hbr y kwel lkn.

ricksmithjrs5:  hongera kwa kukiri kwamba yapo ambayo huyajui…unaonaje kwa spirit hiyo hiyo ukakiri na hili la hallelujah hulijui…maana unapoona neno joice unasema jina joice..na unatafsiri neno moja moja unaharibu maana. Ungeelewa maana ya “uttered in worship”…ungepata concept kwamba ni itumikayo kwenye nyakati za kuabudu na nyanja ya ibada…anaabudu nini vichupi au…unamsifu mungu kwa nini vichupi au kule kubambiana!!!

G Jonathan Kamenge: Mpaka kushawishi taasisi zote hizi kutengeneza jukwaa kubwa namna hii itachukua muda. Nadhani WASAFI iandikiwe barua yenye hoja hizi na ishauriwe kuondoa maneno hayo, nakala iendele BASATA na hao wengine. “….kazi hii inakuhusu wewe…”

Fred D: Msungu Askof Gwajima ndio anaweza hii kazi ..ngoja nimfikishie ujumbe wengine waoga

Baraka Samson Chipanjilo: Hahaha na hivi muda mrefu alikua hajapata Starter ya kuamshia Dude,,,,hii ukimpa atakushukuru sana ataliwasha Dude kwa nguvu

Bishop Dickson D. Kaganga: Mimi sijausikia… na ukweli kama ndivyo inaudhi… lakini tafuteni USHAURI wa KISHERIA kwanza kwa WANASHERIA wa KIKRISTO… ili kujua KISHERIA matumizi ya neno HALELUYA ni kwa WAKRISTO au waimbaji wa GOSPEL tu? Na jee! Ni Diamond tu ametumia neno HALELUYA kwenye SANAA ya UIMBAJI? Ni ushauri wangu tu.

Joackim John Sylivand: MUNGU siku zote hazihakiwi Tafadhali Tafadhali tunaomba mnaoweza kutusaidia mtusaidie kweli inaudhi

G Jonathan Kamenge: This is grammatical definition and translation. Context and social definition and even cultural is not considered. Hakuna legal offense kwenye kusema “chura anarukaruka” na nyinginezo zilizohojiwa. This question is are you offended or not!? If you are, what are you gonna do about it!!!?

Christine Emmanuel: This is the definition of HALLELUJAH…. so Ni haki wimbo wa huyu jamaa ufungiwe kabisa.Huko ni kuudhalilisha ukristo, kwa nini hakutumia maneno ya dini yake???? Tusitetee ujinga jamani. Ifike mahali tusimame na kuipigania/kuilinda imani yetu.

Anyesi Lucas Kajituel: binafsi niliuona mtandaoni na nikadharau tu na sikuusikiliza. My thinking was labda mtu anayefahamu Haleluya ni kitu gani amemshirikisha maana sasa hivi kuna waimbaji wa nyimbo za injili wanashirikiana na waimbaji wa miziki ya kidunia. Nikajua ndio hilo wimbi jipya lililozuka.

Billy Graham: A Brown Lust is devils topic, and he will cause all to obey that.. huyu diamond kama ataambiwa, watakatifu wamfungie na kwenye ulimwengu wa roho, si funguo zipo za kumfungia. Tujue kuwa roho ya baba yake shetani inafanya kazi ndani yake, na inampeleka ku abuse vitu vya kiungu kama Ahabu tu na Goliath. Sheria ikifanikiwa na rohoni watu wa design hii washughulikiwe pia…