Fred Omondi aeleza jinsi Eric na Irene walijitahidi kunusuru maisha ya kaka yao

IMG_9493__1568121304_62325
IMG_9493__1568121304_62325
Fred Omondi amesimulia kisa na ambapo uraibu wa dawa za kulevya ulipelekea afya ya ndugu yake kudhoofika na baadaye kufariki.

Katika mahojiano na kituo cha Jambo, Fred amefunguka mwanzo mwisho kuhusu tukio hilo.

"Tuko wanne kwa familia. Eric aliiposti kifo chake kwa social media... Irene Omondi anaishi German."

Soma hadithi hii:

Ni mwaka mmoja kutoka nipoteze kakangu. Ni kaka yetu mkubwa na hatukaa sana na yeye. Marafiki wake walichangia sana kuingia katika dawa za kulevya."

"Eric na Irene walikuwa wanamtafuta wakampata hapo River Road. Akaenda Rehab. Mtu kama huyo huwezi mpatia hela kwa sababu atarudi kwa madawa."

"Eric kipindi anahangaika kumpeleka hospitali akampata ameaga. Nadhani ni mfano mzuri wa watu wananisikiliza, toka sasa achana na dawa za kulevya."

Kuhusu kupotea kwake katika ucheshi, Eric amesema,

Soma hadithi hii:

'Sijaingia mitini. Nimekuwa nikijipanga...Churchill ni platform kubwa mashariki na Afrika ya kati na kwa hivyo mara kwa mara huwa narudi pale."

Fred anafanya kazi pamoja na kaka yake Eric Omondi ambaye alimtambulisha katika tasnia ya ucheshi.

"Ni kama unafocus sana kwa YouTube ya Eric. Kuna kazi tunafanya pale You Tube.Off late tunafanya pamoja..."

Fred alisimulia kipindi na ambapo wazazi wao walikuwa hai

Soma hadithi hii:

"Babangu alikuwa inspekta wa polisi. Mama alikuwa biashara kidogo kidogo."

"Sisi wazazi wetu walichoka na sisi. Kwa mfano kama amekosea,Eric angesema kitu hapo mum acheke."

Kakake Eric Omnodi alikuwa wa msaada mkubwa kwake,

Eric alinikaribisha Churchill show. Akaniambia kuwa niko sawa kwa hivyo nianze."

Soma hadithi hii:

Aidha, staa huyu wa ucheshi ametaja juhudi familia iliwekeza katika kuhakikisha kaka yake ameacha uraibu wa dawa za kulevya.

'Fred amesema kuwa familia ilifahamishwa alikokuwa ili wamfikie. Eric aliagiza kuwa asije akaachiliwa na awekwe katika hali ya utulivu.

"Eric kipindi anahangaika kumpeleka hospitali akampata ameaga. Nadhani ni mfano mzuri wa watu wananisikiliza, toka sasa achana na dawa za kulevya."

Soma hadithi hii:

Fred amesema kakake alikuwa mbioni kuikimbia familia.

Ni mwaka mmoja sasa tangu aage. Tulipitia mengi. Huyu ni mtu hatukuishi na yeye. Angepotea kwa sababu ya mihadarati."

Marehemu baba yetu alikuwa mwanapolisi angemtafuta na kumpata. Iliwaumiza sana kakangu Eric na Irene."

&t=54s