FUNNY! Majina ambayo wakenya wengi hubandika mipango ya kando

mpango.wa.kando
mpango.wa.kando
Kinyume na kitambo, yaani zama za kina nyanya zetu, ndoa siku hizi zimebadilika na kuwa mtihani mgumu ambao takriban kila mtu anafeli.

Tabia za mabibi na mabwana kutoka nje ya ndoa zimekithiri huku, habari za wanandoa kupigana na hadi kutoana uhai kuzidi kila uchao. Chanzo chake? Mipango ya kando na kutotulia na kutosheka na wapenzi wao.

Wakenya na ujanja wao, wanatambulika kwa kila juhudi wanazichukua ili kuhakikisha kuwa hawapatikani na mipango ya kando. Mojawapo ya mikakati hiyo ni kuandika majina bandia ya mipango ya kando kwenye rununu, ili kuzuia kupatikana.

Tunakuangazia majina ambayo mipango wa kando wamebandikwa na wanawake na waume walio kwenye mahusiano humu nchini.

Wanawake

Maasai wa makaa

Brayo job

Gas supply

Dave movie

Plumber

Caretaker

Mary choir

Wanaume

Mama mboga

Liz supplies

Tala

George school bus

Nancy sumbua

Phone repair

Fundi wa viatu

mama fua