Gavana wa Kisumu Anyang' Nyong'o Ampoteza mamake

ANYANG NYONGO
ANYANG NYONGO
Mamake Gavana wa Kisumu Anyang’ Nyongo , Dorcas Owino ameaga dunia. Mama Dorcas amefariki katika hospitali ya Aga khan  ,Nairobi alikokuwa amelazwa  siku  chache  zilizopita .viongozi mbali mbali akiwemo kinara wa ODM RAILA Odinga wametuma ujumbe wa kuifariji famiia ya Nyong’o .