nkaiserry

Je Wakubaliana Na waziri Nkaiserry kuwa CORD Wataka Kusambaratisha Nchi?

Picha: Maktaba

Hujambo msikilizaji.

Kulingana na waziri wa usalama, Bwana Nkaissery anakiri kuwa wana CORD huenda wakafanya Kenya iwe kama mataifa kama Libya, Tunisia, Egypt kupitia maandamano yao na mbinu za kusambaratisha amani.

Je wakubaliana na waziri Nkaissery?

Comments

comments