njugu

Give hugs and Kisses!,offa za siku ya wapendanao hapa

Naam,siku ya wapendanao huwa na shamra shamra nyingi sana kutoka kwa maduka ya jumla,mikahawa na maeneo mengine ya kujivinjari haswa kwa wapenzi wawili.

Kwa mfano mcheza santuri [DJ] MO na mpenziwe mwanamziki Size 8 wamepanga hafla ya kusherehekea siku hiyo katika mkahawa mmoja hapa jijini nairobi ili kuwaleta pamoja wapenzi wawili kwa kile wanasema ni kuwapa wapenzi wasaa wa kuzungumza.Tiketi za kuingia katika hafla hii ni shilingi 700

Image result for dj mo photos

Shida ni kupata pesa!’ Joe Muchiri aomba msaada kumlipia Jowie dhamana ya millioni 2

ushawai jiulizi baadhi ya’ Offa’ za kushangaza na ambazo huacha watu wengi vinywa wazi ,hahaha basi tazama hii kando na ya DJ MO .

Mkahawa wa Escape hotel sasa ,umewaacha wasomaji wengi kwa mshangao kwani wameanda hafla maalum kwa siku ya wapendanao kwa jina ‘JUKERBOXERS NIGHT ‘lengo kuu ikiwa ni usiku wa wapenzi ‘kupekejeng’ ndio tafakari hayo na kama unaeza hudhuruia na mpenzi wako  kheri njema basi.

Mchekeshaji na muigizaji Njugush na mkewe Wakavinye wameanda hafla sawia ya wapenzi kusherehekea siku hiyo katika eneo la Garden city Mall ,huku tiketi za kuingia katika hafla hiyo kwa wageni waheshimiwa zikiwa shilingi 2,500,na raia wa kawaida shilingi 1,800.Image result for njugush and wakavinye photos

JICHO LA UMASIKINI :Papa Dennis hadi kwa Mzee Ojwang watu mashuhuri waliokufa maskini

Wanamziki wa kikundi cha Elani kwa ushirikiano na hoteli ya kifahari,hawajazwa kwani wao pia ,wameanda hafla sawia kwa jina SLOTS OF LOVE usiku itakayowagharimu wapenzi takriban shilingi 7,500 usiku huo. Image result for elani photos

Je wewe na swahiba wako wa moyo utakula raha na kupekejeng wapi?

Photo Credits: radio jambo

Read More: radio jambo

Comments

comments