Good life: Mkewe Mike Sonko Primerose Mbuvi aonyesha jumba lake la kifahari

SONKO 1
SONKO 1
Mke wa gavana wa Nairobi Mike Sonko ametumia instagram kuwakaribisha mashabiki wake katika jumba lake la kifahari. Iwapo  ulitaka motisha ya kuweza kuafikia maisha mazuri basi  ziara hiyo ya  mke wa gavana itakupa msukumo unaohitaji .

https://www.instagram.com/p/B-rdJUEhWm7/

Katika video hiyo,  'first lady' huyo wa kaunti pia alimuonyesha mtoto wake aliyeweza kumchukua kwa utunzi  Satrin Osinya, na kumpa Satrin nafasi ya kutoa ujumbe wa kuwahamasisha watu kuhusu hatari ya virusi vya Corona

https://www.instagram.com/p/B14bb7Hlx2m/

Kila kilichomo katika kasri la Sonko kina gharama ya kuvunja mguu ,huwezi kukosa kuzioana runinga kubwa kubwa zilizotundikwa ukutani .