Sema Na Raey: Nilifukuzwa na bibi yangu wa miaka ishirini

Jamaa kwa jina Steve alituma ujumbe katika kipindi cha 'Sema Na Annitah Raey' akidai kuwa mkewe wa miaka ishirini alimfurusha kwake nyumbani.

Kulingana na Steve, wawili hao walikuwa wametengana na mkewe akahamia maeneo mengine na watoto wao. Steve alipopoteza kazi alielekea kwa mkewe kumtembelea pamoja na watoto wao wanne.

Yote yalitendeka baada ya mkewe kumuonesha madharau nyumbani kwa kupigia wanaume wengine akiwaeleza waje wamfurushe huku akimuita 'Takataka.'

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be