Jambo Massawe: Rafiki ya mume wangu alinitoa kwangu na kunioa

massawe japanni
massawe japanni
Mwanamke mmoja kwa jina Nancy aliwaacha wengi vinywa wazi akiwemo mtangazaji Massawe Japanni alipopiga simuna kusimulia jinsi rafiki wa mumewe wa dhati alivyo mtoa kwa ndoa yake na kumuoa.

"Nilimpenda tu na nikaona mapenzi yake iko juu sana." Alisema baada ya kuwa na yule jamaa kwa mda wa miaka mitatu lakini bado hawajafanikiwa na mtoto.

"Mimi alishanioa alikuwa rafiki ya mzee. Alinitoa kwangu." Alisimulia.

Nilikuwa nafanya biashara na mzee alikuwa anamuamini huyo jamaa na kutuacha naye.

Nilimuacha mume wangu kwani nilimpenda huyo rafiki yake nikaona mapenzi yake yako juu sana. I am happy, very happy!" Aliongeza Nancy akidai kuwa ndoa yake ya pili ilivunja urafiki kati ya jamaa hao wawili.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be