'Nili double tap naye akani like,' Diana Marua afichua alivyomtongoza Bahati

bahati.diana.marua
bahati.diana.marua
Mwanamuziki Bahati na mpenziwe Diana Marua walizuru kituo cha Radio Jambo ambapo walihojiwa na mtangazaji Massawe Japanni siku ya Ijumaa.

Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa wawili hao kuhojiwa pamoja katika redio na wawili hao walifungua roho kuhusu mambo mengi yakiwemo vyenye walipatana.

Wawili hao wamejaliwa na mtoto mmoja wa kike, baby heaven Wendo Bahati ambaye alizaliwa siku ya mapenzi (Valentine's day) mwaka huu.

Tulipatana na Bahati during the mapenzi video shoot actually the day before the shoot, kupanga shoot na kujuana. Alisema Diana kabla ya Bahati kufichua kuwa mkewe ndiye alimuwinda.

He likes to put it that way but nasema sawa. I first of all liked his photos on Instagram and nilijipata tu hapo nikasema ni double tap and it was late at night, akataka kunionesha ako area so aka double tap mbili. That was two months before we shot mapenzi.

Kuna mtu alini call akasema kama naweza taka kuwa kwa video shoot na akaniambia ni ya Bahati. Aliongeza Marwa huku Bahati akijitetea kuwa siye aliyetumana Marua atafutwe.

Mimi ni mtu wa kujitafutia nataka watu wajue ivo. It was the day of planning and it was a special shoot for me because tulikuwa tuna acct mambo ya harusi. Na unajua mimi ni mghetto na mghetto huwa na ma lines. So nikamshow please can I drop you home? Sa nikam drop home.

After nimeamka nikam text 'Good morning darling are you ready for our big day?' Eish mimi nakuambia msicheze na mimi bana. Alijitetea Bahati.

Kabla wakutane, Marua alikuwa kwa mahusiano mengine lakini kuna maadili ambayo yalimvutia kwa Bahati na hapo ndipo alijua kuwa yeye ndiye mume mwema kuliko wengine.

I think he is very true and real about himself and that is what really moved me about him. Hafichi kitu, mimi ni mghetto mimi ni mghetto sitajifanya eti niko hivi so basically personality.