Kutana na familia ya mtangazaji maarufu Massawe Japanni (Picha)

Massawe Japanni anajulikana kote nchini kwa ushupavu wake ikifika kwa utangazaji, lakini sio wengi wanao jua kwamba  yeye ni mke na mama.

Ameoleka na Tom Jappanni ambaye ni mwajiri wa Radio Maisha na wamebarikiwa na watoto wote wa kike.

Waswahili walisema kuwa

"Kupata mahali pa kuenda ndio nyumbani, kupata mtu wa kupenda ndio familia na kua na yote ni baraka."

Kulingana na msemo huu Massawe amebarikiwa kupindukia kwani yuko na mume anayempenda, watoto ano waenzi na marafiki wanao mpenda kwa dhati.

Jee ni nini kingine anacho kikosa?

Kutana na watoto wa Massawe kwenye picha hizi. Urembo wao ni wa kuvutia si haba.

Si watoto tu wamebarikiwa na urembo, urembo huo wameutoa kwa mamayao ambaye sauti anayo nzuri na urembo pia si wa kutafuta.

Massawe ni mtangazi wa radiojambo ambaye anafanya kipindi cha ni masaa ya massawe.

Mtangazaji huyo kama vile anavyo penda kazi yake pia anapenda familia vile vile.