Mwanamke raia wa Kenya apatikana amefariki Australia

Mwanamake  raia wa Kenya amepatikaka akiwa amefariki katika nyumba yake nchini Australia baada ya jamaa zake kuripoti kwamba ametoweka .

Jelagat Cheruiyot mwenye umri wa miaka 34  kutoka  Uasin Gishu  alifaa kusafiri kwenda marekani  wiki iliyopita kwa   hafla ya dadake kuhitimu katika chuo kikuu lakini alipokosa kuja ,jamaa zake walianza kumtafuta .