Patanisho: Nilimpata Bibi yangu akitongoza 'cousin' yake kwa bedroom

Mambo mengi ambayo ameptia pale kwa ndoa yamemsababisha bwana Fredrick apate depression.

Katika Patanisho hivi leo, tulisikia masaibu ambayo huyu ndugu alipitia katika ndoa lakini bado anampenda bibi yake Catherine, na angependa warudiane lakini inaonekana kwamba mke wake hayuko tayari kuzungumza.

Kwanzia 2015 bwana Fredrick hajweza kuona watot wake kulingana na maelezo yake kupita kitengo cha patanisho.

Nini ilisambaratish ndoa ya Fredrick na Catherine?

'Bib yangu alikuwa na mpango wa kando nikagundua, alisema Fredrick.

Nikajaribu kuhepa hepa kama mwanaume, lakini ilibidi tuwachane because of that Ilianza 2014 by the way mimi nilikuwa nafanya kazi nyumbani huko Homabay na yeye alikuw Nairobi so mos t of the time nilikuwa naenda kumtebelea over the weekend nikimaliza kazi. Kuna siku tuu nilimpata  na kijana mwingine kwa nyumba yangu nikamuuliza huyu ni nani?

Akaniambia huyu kijana ni rafiki yake wanafanya kazi pampoja, so kidogo kidogo nikamuuliza it's not bad ukiwa na rafiki lakini most of the time namwonanga anakuja hapa anatsfuta nini? 

Akaniambia ah!1 usiniulize mambo mengi. huyo ni rafiki yangu na hiyo mambo iishe. 

Aliibua aje huyo kijana rafiki wa mke ni mpango wa kando?

So kuna siku kuna jirani amenipigia simu akaniambia hiyo nyumba yako itaharibika. Kuna kijana anakujanga hapa mst fo the time ukiwa away ebu fanya uchunguzi. So siku yenye tuliwapata ni day nilijifanya sitakuja weekend, akaniambia sawa wewe jipange.

So kisiri nilipanda gari, kufika Nairobi saa kumi na moja kugonga gonga mlango hakuna mwenye ananifungulia. So housegirl ndio alitokea akaniambia mama bado analala. Kidogo kidogo kwenda kwa balcony hivi naona mwenye anatoka kwa bedroom yangu Nikaona kijana ametoka kwa bedroom akanisalimia! Doh 

Catherine alipata mshtuko wakti Gidi kutoka Radio Jambo almpigia simu kumpatanisha baad ya bwanake Fredrick kuomba patanisho kwasababu ya mapenzi.

Kisa na maana?

Catherine hauwa anashika simu kwa mara ya tatu na ikabidi Gidi kumpatia bwana Fredrick ushauri kwasababu alionekana amesononeka sana.

Huku amjezwa na majonzi, bwana Fredrick. alianza kulia.

Gidi alimhimiza Fredrick kwamaba inaonekana kwamba Catheire hataki kuongea, na kumwambia kwamba kisheria anaweza kuona watoto kuptiia uamuzi.

Huenda kuna wengi wamepitia masaibu kama yake na wanaweza mpatia ushauri?

Skiza kanda ifuatayo