'Wanawake Kenya ni kama njugu' shouts Pastor Deya on fighting temptations

deyainradiojambo
deyainradiojambo

Pastor Gilbert Deya was dumped three times before finding the woman of his dreams, who also dumped him after getting a child with another man.

The miracle Pastor revealed these intimate details to Radio Jambo's Japanni Massawe, confessing he has a new fiancee, his fourth woman to date since returning to Kenya,

Pastor Deya admitted that he is now divorced and describes what happened below.

'Siwezi sema tumetengana tume divorce, kutengana means tumewachana mtarudiana tena. What I know me and my wife we are divorced. Tume divorce

What happened that his lovely wife left him?

Eh mke wangu ndio amedivorce mimi na I'm accepting her decision and I have no problem.

Let me explain this kinaga naga wananchi wote wajue kwamba gilbert Deya is a divorcee now sina mke na nitaoa tena. Mke wangu nilipokuwa uingereza kwasababu yeye alikuwa hapa Kenya na nilipokuwa uingereza mimi kule uingereza maanake nilikaa miaka kumi na tano nilichukuwa mwanmke kule sio kwamba nilikuwa na cheat the way it was said in media.

Tulikuwa tumewachana kiimmigration kwasababu alikuwa Kenya na mimi nilikuwa ulaya nimeishi miaka kumi na tano bila kuwa na yeye. Sasa miaka ya tano ya kwanza nilijaribu lakini niliona siwezi kukaa nilikuwa na lust ya mwili nikona wanawake wantembea niakamua kukuwa na mwanamke kule ambaye nikamwbai wasee wa kanisa na hiyo mama ata yey alijua.

Lakini nyumae huyo mama aliniletea taabu wakati alikuwa amesema ya kwamba nisirudi Kenya mpaka nimuoe na tukakosana akaniwekea kesi ya rape.

He blamed his failed relationships on distance and jail time. He continued narrating his marital experience saying:

Baadaye nikaongea na mama nikachukuwa mwanmke mwingine n ahiyo pia nilipokuja hapa Kenya, maanake nilirudi kuazna charges ya child sealing. Nilipokuwa Kamiti huyp mama alitoweka Hakuwa anataka nikae naye kitanda na tena mambo ya ajabu ya kwamba yeye alikataa kupima DNA test.

Sasa mimi kwa maana kimekuwa kamiti miaka moja natumaini kukuwa na mwanamke unafikiria nitafanya nini? Sasa mimi niliamua kuchukuwa mwanamke ingine hapa Kenya.

Sasa ni muhimu kuchunga mwili yako ni muhimu kutokuwa na tamaa ni muhimu kufanya kitu hadharani. Sasa hapa Kenya wanakwake ni kama njugu ata serikali wameamua ata kama mnaweza kuwa hamsini ni sawa.

Doh!

Hivi sasa Pastor Deya anaye mchumba?

Sasa mimi nime engage someone. Wanaume macho yao inawatesa, unataka mwanamke akitembea niangalie matako yake? Wanaume macho yao inawatesa hata kama umeokoka macho hayaokoki.

Siwezi kaa single, nataka kufunga ndoa na yeye ni kamsichana mdogo sana, age gap is 50 and that is in the line of my liking, alisema huku akimaliza kitengo cha Ilikuaje.

Also read more here