Mwanzo Mnyenyekevu! Ona nyumba Anyang Nyongo aliyoishi akiwa kijana

Prof. Anyang Nyongo, ambaye ni gavana wa Kisumu ni moja ya wanasiasa wanaojulikana kwa kutaka demokrasia ya wingi.

Anyang Nyongo ni mwanasiasa anayejulikana nchini kwa kuwa na vyeo vingi katika siasa.

Hata hivyo, Anyang Nyongo alikuwa na mwanzo mnyenyekevu. Katika picha zilizochapishwa kwa mtandao wa Instagram na Lilian Muli, Anyang Nyongo anaionyesha nyumba ambayo alikuwa analala akiwa kijana mdogo.

Nyumba aliyolala Anyang Nyogo akiwa kijana

Soma mengi