logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mkewe Rayvanny afichua sababu ya kubadilisha imani yake

Mkewe Rayvanny afichua sababu ya kubadilisha imani yake

image
na CONSOLATA MAKOKHA

Habari31 July 2019 - 11:54

Muhtasari


    Mpenziwe Rayvany, Mama Fahima amefichua kwamba amebadilisha imani yake kutoka Uislamu hadi Ukristo. Fahima alisema hayo kwenye mahojiano na kituo kimoja cha televisheni nchini Tanzania.

    "Nimebadilisha imani yangu sio kwa sababu ya kutaka kuolewa ila nimebadilisha kwa kuwa bwanangu na watoto wangu ni Wakristo. Nyanyangu alikuwa mkristo huku mamayangu alilelewa ndani ya familia ya Kikristo."

    Alipoulizwa kuhusu tendo la kufunga pingu za maisha,"Ndoa ipo ila ningependa watu wawe na uvumilivu kwa sasa." Fahima alisema. Kwa sasa Fahima na Rayvanny wana mtoto mmoja.

    Kwenye imani ya kiislamu,tendo la kubadilisha imani halikubaliwi. Hata hivyo, mashule kadhaa ya imani hii huwa na maoni tofauti tofauti kuhusiana na tendo hilo.


    RADIO JAMBO FREQUENCIES

    Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


    logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved