Lulu Hassan na Rashid Abdalla washerehekea kitinda mimba wao

Mapema mwezi huu, wanahabari na wapenzi wawili, Rashid Abdalla na Lulu Hassan walimumiminia mwanawe Jibran jumbe za upendo na baraka katika siku yake ya kuzaliwa.

Kijana mtanashati, Jibran, ambaye ni miongoni mwa watoto watatu wa mabingwa hao wa runinga ya Citizen, alisheherekea siku yake ya kuzaliwa  tarehe 9, Agosti, na wazazi wake walichukua fursa hiyo kumuonesha upendo kupitia mitandao yao ya kijamii.

Wiki kadhaa baadaye, ilikuwa zamu yake kitinda mimba wao kwa jina Kiran. Kiran anaadhimisha mwaka mmoja hii leo tangia alipo karibishwa humu duniani.

Hassan mwenye wingi wa furaha alitumia mtandao wake wa Instagram kumtakia mema huku akichapisha picha rembo sana ya mwanawe.

Alisema,

Happy birthday to the sweetest one-year-old little girl we have ever known....❤❤❤

 
Rashid Abdalla naye hakusita kumwagia mwanawe upendo huku akisema kuwa yeye humpa kila namna ya kutabasamu na kumkumbisha yeye ndiye kipenzi chake nambari moja.
Aliandika, 

 I love you so much my little girl. You always make me smile and forever you will be my number one bae. Happy 1st birthday  

Ifuatayo ni baadhi ya ujumbe kutoka mashabiki na marafiki zao,
Thumah: Ashunuuuuuuu😍😍😍😍😍 Happiest Birthday to the princess. So adorable MashaAllah 😍😍❤❤❤
Sheshimu: Aaaaaaaw!!! happy birthday to her.she is sooo pretty😍😍😍🔥
Nyathira Gitau: Aawww!!! Such cuteness! Wow! Happy Birthday to her! 😍😍😍🤗❤️
Winnie: Hahaha wewe Rash... Huyo ni photocopy wa  ....🤗🤗🤗
Diddah: MashaAllah MashaAllah MashaAllah 😍😍😍 what a cuteeee🥰😘 waminshari hasidin idha hasad