Amepatikana! Bien aanikwa kwa 'kummezea mate' dadake Kansiime

Mwanamziki bomba Bien wa bendi ya Suti Sol amelazimishwa kujitetea baada ya kupatikana 'akimnyemelea' dadake mcheshi Kansime.

Kansime ambaye ni msheshi anayejulikana na kutamba sana duniani aliweka picha yake na wazazi wake kwenye mtandao wa kijamii kwa mara ya kwanza na walipendeza sana si kidogo.

https://www.instagram.com/p/B4jXOcjAPFj/

Bien aliandika ujumbe kwenye picha ya Kansiime na kuuliza kama dadake Kansiime hana mpenzi.

Baada ya ujumbe huu, mashabiki walishikwa na mshangao sana na kumuuliza Bien kama anataka kupata mke mwingine pasi na kuwa na kidosho Chiki kama mpenzi wake aliyemchumbia.

Hizi ndizo orodha za mashabiki kwenye mtandao wa kijamii .

dope_kicks @bienaimesol you want a second wife bro🤔

 andeka.ivy @bienaimesol you better be asking for a friend 🤣🤣🤣

ninsiimababrah @chikikuruka come en see ur man😂😂😂

ishassam @bienaimesol why are you running! Ask with confidence, be bold

Mwanamziki huyu naye alijibu na kusema kuwa hakuwa anauliza swali lile ili ajifaidi yeye bali alikuwa anamuulizia rafiki.

@ANDEKA.IVY EXACTLY!!!! I’M ASKING FOR A FRIEND.