Mapenzi matamu! Nicah the Queen afichua sura ya mpenzi wake

Mwanamuziki wa nyimbo za injili binti 'Nicah The Queen' amepata sabuni ya roho yake. Mama huyu mwenye watoto wawili amekwachuliwa na mwanaume kutoka Nigeria.

Mwanamke huyu alikuwa jijini Mombasa na mwanamume ambaye wengi hawakujua ni nani.

Binti huyu aliyekuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa aliweka picha kwenye mtandao wa kijamii na mwanamume huyu anayedaiwa kuwa mpenzi wake.

Zaidi ya hayo, Nicah alifunguka na kusema kuwa kuna wakati ambao alikuwa amekosa matumaini maishani kwani alikuwa anapitia mengi sana maishani na baada ya kuokoka akaona kuwa Mungu ni wa ajabu sana kwani maisha yake yamebadilika na kwa sasa anafurahia maisha yake.

  I’M A WOMAN,I’M HUMAN,I MAKE MISTAKES N NOT JUST MISTAKES BUT HUGE MISTAKES.I’M A MUM OF TWO BEAUTIFUL GIRLS.I GOT PREGNANT AT A TENDER AGE N I THOUGHT MY LIFE WAS MESSED UP,I CRIED 24/7…….ID LOOK AT MYSELF IN THE MIRROR N CRY MY EYES OUT.I WOULD GO IN A CHANGING ROOM WITH MY FRIENDS BUT I WOULDN’T CHANGE IN FEAR OF THEM SEEING STRETCH MARKS ON MY BELLY……HAVE I FINISHED SCHOOL?NO……..WILL I EVER BE MARRIED?NO…..WILL I EVER GET A JOB, AM I BEAUTIFUL? NO…….CAN I EVEN AFFORD TO FEED MY KID?NO……..BEING BROUGHT UP BY A SINGLE HUSTLING DAD WAS NEVER EASY N NOW HAVE MESSED4 MY LIFE UP!!!!!!!WHAT IS LEFT OF ME?EITHER TO BE A BAR MAID,HOUSE HELP,PR@ST!TUT3 OR SOME OTHER KINDA JOBS……I LOOK AT MYSELF NOW N I DON’T BELIEVE IT………IN REAL SENSE MY KID WAS A BLESSING,SHE WAS A TURNING POINT IN MY LIFE,I THANK GOD FOR THE FRUITS OF MY WOMB,I THANK HIM FOR THE GIFT OF LIFE,I DON’T HAVE ANY DISABILITIES OR HAVE ANY PHYSICAL CHALLENGES.I ONCE GOT INTO A FIGHT WITH A WOMAN MY AGE N SHE TOLD ME I DON’T HAVE TIME TO FIGHT WITH A MOTHER GO BRE@$TFEED IN PEACE.I CRIED MY EYES OUT BUT ONE THING I DINT REALIZE IS GOD HAD A PLAN FOR ME.ALL I HAVE TO DO IS KNEEL DOWN N LET HIM BE THE DRIVER OF MY LIFE……..TAKE THE WHEEL LORD.MOULD ME TO A SHAPE U WANT ME TO BE……I’M A WOMAN,I AM BEAUTIFUL,I AM CONFIDENT,I LOVE MY KIDS N I WORSHIP A LIVING GOD. Niccah alisema.