Tafuta mke! Mashabiki wamfokea Itumbi baada ya kumtungia Maribe shairi lingine

itumbi
itumbi
Leo ni siku ya maana sana kwa mwanahabari na rafikiye Dennis Itumbi, bi Jacque Maribe. Maribe anasherehekea siku yake ya kuzaliwa hii leo.

Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja sasa, bi Maribe amekuwa akisombwa na shida chungu nzima baada yake na aliyekuwa mpenziwe, Jowie kukamatwa baada ya kuhusishwa na kesi ya mauaji ya Monica Kimani.

Wawili hao walitiwa mbaroni na kusalia rumande kwa mda kabla ya mwanahabari huyu wa zamani wa runinga ya Citizen, kuwachiliwa huru huku kesi bado ikiendelea.

Hata hivyo, katika kipindi hiki chote cha majaribio, bwana Itumbi alikuwa naye sako kwa bako na hakuficha upendo wake kwa Maribe. Itumbi ambaye alikana kuwa na uhusiano na Maribe alimtembelea mahakamani na kila siku kumtumia ujumbe wa heri.

Mtandaoni, Itumbi hakuchelewa kumtungia Maribe shairi za upendo na kumpa moyo.

Hili lilimfanya kukejeliwa na wakenya wakimwambia kuwa anapoteza mda wake na Maribe hatamuonesha mapenzi hata tone moja.

Hii leo ikiwa siku yake ya kuzaliwa, Itumbi hakuchelewa pia na alimtungia shairi refu na lenye upendo mwingi.

Itumbi aliandika,

Happy Birthday, ,

You are a FIRE.

A Fire in your stage presence,

A Fire that has super hot flames,

Flames that keep them talking,

You are a Fire of beauty and sexy.

A Fire that sparks and sustains friendships,

A Fire, I gladly embrace and use to ink this poem,

A Fire that is so lovely to resist,

You are a Fire on top of a mountain,

Living life, couregously, powerfully and unapologetically

A Fire that refines your ore into Gold.

A Golden friend.

A Golden mum

A Golden trailblazer

So here an online hug, tight, endless and Forever.

Our Friendship, is our souls on Fire.

Burning the past into ashes, connecting us,

Soldering to the future, with the force of water down a waterfall...

Friends, planted right at the bull's eye of our hearts, is what we are...

May you get endless Birthday kisses and triumphs...

You are a lovely FIRE..

I wish you Endless victory, may you warm our hearts.

Happy Birthday!

Hata hivyo, wakenya walimzomea na kumfokea Itumbi wakimwambia awache kupoteza mda wake na badala yake asake mchumba.

Junior: I think this man Itumbi is mad.

You Will write to her 100 times bt u will end up being a bachelor forever.

Look for a lady and marry.

Maribe is already married and Happy

Kimutai: Mwanaume kamili is the one who hit the nail to the head wacha hizi bla......bla......bla.....,otherwise ambia amgotee Omondi

Meyoki: I learnt that silence is a weapon. With all the silence Erick still beat you pants down despite all this kujitetea? I kefup long time on silence.

Mbego: Why not just let Jackie Maribe be?

Aguko: You will always remain to be the best love poet . ladies nowadays don't like reading love stories or poems but they need action. Please act. Hii kwanza nimechukua naenda kuimbia bae.