Zari awaomba mashabiki kupunguza kufuatilia mwanamme wake

Zari Hassan alionekana kwenye picha akiwa na mwanamme ambaye amekisiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya anayemuita King Bae.

Mwanamme huyo kwa jina Cedric Anthony Fouries alionekana akila denda na Zari kwenye picha iliweka Instagram na rafikiye Zari.

Zari ameenda mtandaoni kusihi mashabiki kutomftatilia sana Cedric kwa kuwa yeye hapendi umaarufu.

Aliandika;

Cedric pia ni mkufunzi wa mazoezi.