"Mimi na mume wangu tunaugua Ukimwi," Phenny mama wa watoto 3 afunguka

Phenny Awiti ambaye anaishi na virusi vya Ukimwi anatarajia kujifungua mtoto wake wa tatu.

Wanawe wawili wa kike hawana virusi hivyo na amekuwa akifunguka kuhusu maisha yake na jinsi amekuwa akilea wanawe wawili.

Mama huyo mjasiri ambaye amekuwa akitumia mitandao ya kijamii kupigana na fikra za watu kuhusu virusi hivo, amefichua kuwa mumewe mzungu pia anaugua Ukimwi.

Alichapisha picha yake na familia yake changa huku akionesha mimba yake, picha ambayo ilivutia mashabiki zaidi ya elfu tatu.

I DON’T KNOW HOW IT FEELS LIKE TO BE HIV NEGATIVE, BUT I KNOW THAT I AND BABA BR EAD ARE BOTH HIV POSITIVE AND GLADLY RAISING THESE TWO BEAUTIES WHO ARE FREE FROM THE VIRUS. I CANNOT WAIT FOR ANOTHER BUNDLE OF JOY WHO IS HIV NEGATIVE! 🙏🙏🙏 IT IS SO REJUVENATING BREAKING THE BARRIER OF HIV AND STIGMA TO THE YOUNGER GENERATION,’ AWITI ALIANDIKA.

Mashabiki chungu nzima walifurika katika mtandao wake na kumsifu Awiti kwa ujasiri wake wa kuzungumzia hali ya afya yake.

Kenyan Lugari Boy If you feel like you’re losing everything, remember that trees lose their leaves every year and still they stand tall and wait for better days to come. I’ve always admired you osiepna.

David Ojango You are so much inspirational, words that change the life of others and change people’s bad thought and perception, May God always be there right by your side and bless you abundantly

Herina Achieng Aries Beautiful gorgeous Family I love you ♥

Mami Mbuya very true dear, the ones living HIV- are more in fear than the +VE individuals,trust me better live a positive life with full acceptance

Pamei J Peters This is what I love reading and seeing each day😍💝💓 I love you so much😘

Dorothy Okeyo This picture speaks volumes am blessed to read this.