Alinipiga shoti mbili nikazimia!,asimulia mwanamke

NA NICKSON TOSI

Mwanamke wa miaka 33 amesimulia jinsi alivyosimia alipokuwa anamgawia mumewe asali baada ya kuachiliwa kutoka gerezani.

Kwa sababu za kiusalam ,mwanamke huyo alitaka jina lake libanwe na kuelezea kuwa mumewe alifungwa miaka 7 gerezani baada ya kupatikana na makosa ya kumiliki silaha kinyume na sheria,alipohitimisha kifungo chake alirejea nyumbani ,jambo lililompa hamu ya kushiriki 'pekejeng' baada ya kuikosa kwa miaka hiyo yote.

''Mume wangu alinipiga shoti mbili tu ,nikazimia kitandani,alikuwa amekosa kuisoma katiba yangu kwa miaka mingi,nilimpompatia nilidhani labda nitahimili mikiki atakayokuwa anawachilia pale kitandani,maskini!,nilijipata nimezia ,sina fahamu ,na hata hakutaka kuniwachilia bali aliendelea kunisukumia mkiki baada ya mwengine'',alielezea mwanamke huyo.

''Chakushangaza ni kuwa hata nilipokuwa nimezimia wakati mumewangu alipokuwa anaisoma katiba kwa mikiki mikali hivyo,sikuhisi uchungu wowote,niliangalia vizuri Kisima changu cha asali nikapata kingali vizuri tu,kutokana na muda huo mrefu niliokuwa nimekaa bila ya kupewa shoti kali kama hizo labda ndizo zilizochangia mimi kuzimia''.alielezea mwanamke huyo.

Mwanamke huyo alikiri kuwa mumewe hakufanya makosa kuendelea kumpekejeng hata baada ya kuzimia akisema ni jukumu la wanawake katika ndoa kuhakikisha kuwa wanajukumika na kuwapa haki za kindoa wanawaume wao mbali na matatizo ambayo labda wanaweza kuwa wanapitia .

Mimi sikuona kama alikosea kuendelea kunipa mikiki kama hiyo usiku huo ambapo alikuwa anashiriki tendo la ngono na mimi baada ya kufungwa miaka 7 gerezani,niliona ni haki nyangu mimi kuendelea kulala alivyokuwa anataka na kumpatia wakati mwema aendelee kuchimba kisima cha asali,kila mwanamke yafaa awe hivyo,usimnyime mumeo haki ya kimsingi kwa sababu ndio huchangia pakubwa mipango ya kando kwa ndoa.aliendeleza kusema .

Mwanamke huyo alitokeza kuwa wanawake wengi ambao wachumba wao wamefungwa gerezani hukumbwa na changamoto nyingi zikiwemo kukosa haki za msingi kwa ndoa,kukumbwa na changamoto za kulea familia na hata kubaguliwa na jamii.

Aliongeza kuwa kurejea kwa mume wake nyumbani kulikuwa ndio mwanzo wa furaha katika moyo wake .

''Nilifurahia sana,nilihisi kama mwanamke ambaye kaolewa kwa mara ya kwanza,waliokuwa wananicheka eti sina wa kuniondolea kibaridi usiku walikimya sasa,kuanzia 4.AM mimi huakikisha kuwa mume wangu nampatia vya kutosha,naakikisha kabla sisi zote hatujaamka nimemshughulikia kimwili ndiposa akienda katika shughuli za kikazi mchana hana tamaa ya kutamani wanawake wa wenyewe''.alisema

Je wewe unaeza kubali mumewe kuendelea kuachilia mikiki ya 'pekejeng'baada ya kupata fahamu ?