Mume wangu amewapachika wanawake wengi mimba na kuwaacha-mwanamke Asimulia

Nyakati za sasa watu wengi hawatiliii maanani ndoa na tamaduni kama ilivyokuwa enzi za zamani. Nyakati hizo noa ziliheshimiwa sana.

Baaddhi ya watu wanadharau wakwe zao lakini wakati ule heshima iliddumu katika ndoa na hata wazazi walikiwa wanawapa wana wao heshima.

Mwanamke mmoja alisimulia jinsi mume wake amewapachika wanawake tofauti mimba na kisha kuwatoroka.

“Najua mume wangu amewapachika wanawake mimba na kiwaacha walee watoto wao wenyewe. Hivi majuzi alipachika mama mwingine mimba baada ya mume wake kufariki.

Alimuachia mtoto alee, kitu ambacho kimenishtua ni kuwa alimpachika msichana wa wa ukoo wake mimba.” Alisimulia.

Si hayo tu alizidi kueleza jinsi mume wake ameacha majukumu yake na kutoroka nyumbani.

“Tumekaa na mume wangu kwa miaka kumi, tumebarikiwa watoto wanne lakini aliniachia majukumu yote.

Hivi  majuzi msichana wa ukoo wake alinifichulia jinsi alimpachika mimba nikiwa kazini usiku.

Aliniambia alikuja akiwa amelewa na kisha kumlazimisha msichana huyo kupekejeng, Della alikuwa na miaka kumi na saba alipofanya kitendo hicho

Mimi sikujua lakini hata mtoto wa msichana huyo anamfanana mume wangu kabisa kwa hivyo siwezi kataa madai hayo

Mbali na hayo najua wanawake wengi ambao amewapachika mimba, Della alipompigia simu ili awajibikie majukumu yake alikata simu na kumwambia kuwa huyo mtoto si wake.

Licha ya kufanya vitendo hivyo vyote alioa ibi wa pili lakini inaonekana hakumtosheleza.” Alisema.

Mwanamume huyo ni dereva wa magari, lakini ni nini kinamkuma mwanamume huyo kufanya kitendo kama hicho?

Na ni watoto wangapi wa shule ambao amewapachika mimba na kukimbia majukumu yake bila mke wake kujua

Kwa hakika anapaswa kuitwa ‘father Abraham’ ni hatua ipi ambayo wanawake hao wamechukua au wamekaa tu bila la kufanya na kumshtaki mwanamume huyo.